Jumatatu, 24 Novemba 2014

KILIMO CHA KISASA,

Zao la mahindi likihudumiwa ipasavyo linaweza likaleta manufaa kwa taifa zima, Jambo muhimu ni kuwapatia wakulima pembejeo kwa wakati ili nao waweze kufanya maandalizi mapema, Kucheleweshewa pembejeo kutasababisha wakulima wengi wasiweze kufikia malengo yao