Jumanne, 31 Januari 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016

Matokeo ya mitihani kidato cha nne yametangazwa tarehe 31-01-2017, Shule kumi zilizo fanya vizuri zaidi ni hizi hapa.>>      1. Feza boys sec. school - Dar es salaam                                             2. St. Francis girls sec. school - Mbeya                                              3. Kaizirege junior sec. school - Kagera                       

4. Marian girls sec. school - Pwani                                               5. Marian boys sec. school - Pwani                                               6. St. Aloysius girls sec. school - Pwani                                               7. Shamsiye boys sec. school - Dar es salaam                                  8. Anuarite girls sec. school - Kilimanjaro                                      9. Kifungilo girls sec. school - Tanga                                               10. Thomas more machrina sec. school - Dar es salaam."                      Kuyaona Matokeo yote.>>>   Bofya hapa                                        Matokeo ya QT.>>> Bofya QT

Jumapili, 29 Januari 2017

WACHIMBAJI MADINI WALIOFUKIWA WAKUTWA HAI

Wachimbaji 15 wa madini katika mgodi wa RZ mkoani Geita wamepatikana wakiwa hai baada ya waokoaji kufanya juhudi mbalimbali za kuwaokoa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye mgodi huo

Tazama baadhi ya picha hapa.>>>

Jumatatu, 16 Januari 2017

MABILIONEA NANE WANAO ONGOZA KWA UTAJIRI DUNIANI

Utafiti uliofanywa mwezi mach mwaka 2016, umeonyesha kuwa hawa ndio mabilionea nane wakubwa wanaoongoza Duniani,                                                        1. Bill Gattes (Us) Huyu ndie namba moja akiwa na utajiri wa ($75bn)                                             2. Amancio Ortega (Spain)  Huyu alishikilia nafasi ya pili akiwa na utajiri wa ($67bn)                           3. Warren Buffet (Us)  Huyu alikuwa nafasi ya tatu akiwa na utajiri wa ($60.8bn)                         4. Carlos Slim Helu (Mexico)  Huyu alikuwa nafasi ya nne akiwa na utajiri wa ($50bn)                         5. Jeff Bezos (Us)  Huyu alikuwa nafasi ya tano akiwa na utajiri wa ($45.2bn)                                        6. Mark zuckerberg (Us) Huyu alikuwa nafasi ya sita akiwa na utajiri wa ($44.6bn)                          7. Larry Ellison (Us) Huyu alikuwa nafasi ya saba akiwa na utajiri wa ($43.6bn)                                            8. Michael Bloomberg (Us) na huyu alikuwa nafasi ya nane akiwa na utajiri wa ($40bn)   tazama picha zao hapa->>>>

Jumatano, 11 Januari 2017

MISITU YETU NI UHAI WA TAIFA

Kutunza misitu ni jukumu letu wote kwa ujumla, Tujitahidi kuilinda kwa namna tuwezavyo,   Tusipoilinda misitu yetu ya asili ambayo ni zawadi tuliyo tunukiwa na Mungu tutakaribisha jangwa na uhaba wa mvua utakao sababisha baa la njaa, Tukishirikiana pamoja tunaweza kuzuia uharibifu huu wa mazingira tunao uona ni mdogo kwa sasa lakini baadae athari zake ni kubwa, Tukiangalia uchomaji wa Mkaa ovyo ni chanzo kimojawapo cha uteketezaji wa misitu kwa haraka mno,   Tunalalamika sana kuhusu uhaba wa Mvua lakini tukitazama maeneo ambayo misitu bado ipo hakuna uhaba wa mvua ukilinganisha na maeneo ambayo misitu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa, Asilimia kubwa ya kilimo chetu tunategemea mvua upungufu wa mvua unasababisha kipato kupungua sana na pia hata mazao yenye kustahimili ukame yatakosa nguvu kutokana na uhaba wa mvua,     Pia misitu ina faida nyingi sana tunaweza kufuga nyuki humo na tukapata Asali na tukaongeza kipato chetu, Na tukumbuke tunapo haribu misitu kuna Wanyama, Ndege, na Wadudu wa aina mbalimbali wanatoweka kutokana na uharibifu huu unaofanywa na binaadamu.   { Tutunze mazingira yatutunze } "Tazama baadhi ya picha"