Jumamosi, 28 Oktoba 2017

MAARIFA MPIRANI


" *MCHEZAJI AKIWA UWANJANI ANATAKIWA KUFANYA MAAMUZI 390 NDANI YA DAKIKA 90.  WASTANI WA MAAMUZI 4 KILA DAKIKA YA MCHEZO*"

Mambo 4 ambayo mchezaji anatakiwa kuyafanya Katika kila sekunde ya mchezo ni haya......

1. *Turn (Kugeuka)*
2. *Move ( Kusogea)*
3. *See ( Kuona)*
4. *Think ( Kufikiri)*

Kama mchezaji ataweza kufanya kwa ufanisi vitu hivyo vinne ndani ya dakika 90 basi ana nafasi kubwa ya kuwa mchezaji bora. 

Fact: Tafiti zinaonesha ili uwe mchezaji bora wa FIFA lazima uwe na wastani  mzuri wa kufanya hivyo vitu 4 kwa wakati mmoja. *Mchezaji bora wa FIFA* kwa wastani anafanya maamuzi *0.33* kwa sekunde moja ambayo ni sawa na maamuzi *19* kwa dakika moja na maamuzi *1710* kwa dakika *90* za mchezo Mmoja.

##Ndio kusema mchezaji kama Christian Ronaldo ana uwezo wa ku  turn, move, see na think mala 1710 kwa wastani katika kila dakika 90.

*MTAZAMO HURU*:
Kama wachezaji wetu wakiyazingatia haya watakuwa bora na viwango vyao vitaongezeka na kufikia malengo yao.