Jumatatu, 8 Mei 2017

NI MSIBA WA KITAIFA

Ni Wanafunzi 32, Na Walimu 2, Na Dereva 1, Waliokufa kwenye Ajali ya Karatu, Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi, Ni msiba mkubwa sana kwetu wote, Wao wametangulia mbele ya haki, Ni jukumu letu sisi tuliyobaki nyuma kuwaombea Dua.  ( aamiin ).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni