Jumamosi, 20 Januari 2018

MABILIONEA AFRIKA

JIONEE HAPA MABILIONEA 25 WANAOONGOZA KWA UTAJIRI BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2017:-

Kwa utafiti uliofanywa mwaka 2017 unaonyesha hawa hapa ndio mabilionea 25 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika tazama mtiririko wao ulivyopangwa na utajiri walionao,

1. Aliko Dangote, Nigeria
utajiri wake $ 12.2 bilioni

2. Nicky oppenheimer, Afrika kusini
utajiri wake $ 7 bilioni

3. Johann Rupert , Afrika kusini
utajiri wake $ 6.3 bilioni

4. Nassef Sawiris, Misri
utajiri wake $ 6.2 bilioni

5. Mike Adenuga, Nigeria
utajiri wake $ 6.1 bilioni

6. Christofel Wiese, Afrika Kusini
utajiri wake $ 5.9 bilioni

7. Nathan Kirsch, Swaziland
utajiri wake $ 3.9 bilioni

8.Naguib Sawiris, Misri
utjiri wake $ 3.8 bilioni

9. Isabel Dos Santos, Angola
utajiri wake $ 3.1 bilioni

10. Issad Rebrab, Algeria
utajiri wake $ 3 bilioni

11. Mohamed Mansour, Misri
utajiri wake $ 2.7 bilioni

12. Koos bekker, Afrika Kusini
utajiri wake $ 2.1 bilioni

13. Allan Gray, Afrika Kusini
utajiri wake $ 1.99 bilioni

14. Othman Benjelloun, Morocco
utajiri wake $ 1.9 bilioni

15. Mohamed Al Fayed, Misri
utajiri wake $ 1.82 bilioni

16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini
utajiri wake $ 1.81 bilioni

17. Yasseen Mansour, Misri
utajiri wake $ 1.76 bilioni

18.Folorunsho Alakija, Nigeria
utajiri wake $ 1.61 bilioni

19. Aziz Akhannouch, Mrocco
utajiri wake $ 1.58 bilioni

20. Mohamed Dewji, Tanzania
utajiri wake $ 1.4 bilioni

21. Stephen Saad, Afrika Kusini
utajiri wake $ 1.21 bilioni

22. Youssef Mansour, Misri
utajiri wake $ 1.15 bilioni

23. Onsi Sawiris, Misri
utajiri wake $ 1.14 bilioni

24. Anas Sefrioui, Misri
utajiri wake $ 1.06 bilioni

25. Jannie Mounton, Afrika Kusini
utajiri wake $ 1 bilioni

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni