Jumamosi, 4 Oktoba 2014

SALUM HASSANI MGAYA:

SALUM HASSANI MGAYA:Asubuhi nilipotoka nyumbani nikakutana na kijana mmoja akiwa ameshika msumeno wa kukatia vyuma mkononi baada ya kusalimiana nae nikamuuliza anakwenda wapi akaniambia anakwenda kwa wakala kutoa pesa kwenye simu yake kwakuwa nilikua namfahamu nikamuomba nimpe pesa zangu akaniingizie akakubali nikampa namba yangu ya simu alipofika kwa wakala akampa zile pesa katika kutaja namba akakosea...>> itaendelea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni